Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Zitupie mkuu ..tunaweza kuwa tuko kwa same keyDaaah! Ngoja kwanza niziorozeshe.
Hahahahaha...upo kam jamaa yangu mmoja yeye akilewa anaanza kuimba ekwuemeeee ekweumeee...you are the livingiiii gad ooAjabu nikilewa naimba za injili sana sana ule AJIBUYE MAOMBI YETU. Baba uniambii kitu mkononi bia mdomoni "Yupo Mungu mbinguni ajibuye maombi yetu, tunapoomba asikia anajiiibu oooh baba. Muulize hayati Magu anaujua huuu uko aliko
Ongezea liputa hapo-fally ipupaKoffi - elegance
Koffi- pygmalion
Fally- Anisa
Fally-a flye
Fally- maria pm
Nitarudi
TerminatorOngezea liputa hapo-fally ipupa
Felix wazekwa -callins
Daah yan we acha tu
Huwa naitikia kwenye chorus tu apo nipo bwi bwax dah Mario fundi mkuuMamaa Aminaa... mama amina weeee[emoji111]
Huwa naitikia kwenye chorus tu apo nipo bwi bwax dah Mario fundi mkuu