Nyimbo ipi ya lady jaydee commando ilikubamba zaidi

Nyimbo ipi ya lady jaydee commando ilikubamba zaidi

1:Binti

2: Sema nae


Na ngoma ya tatu ni ile aliyomtunga kisha nasma hamisi kidogo akauimba...... Unaoitwa zao
 
Binti
" binti amka acha sikitikaa binti amka acha sononekaa,,binti amka jikaze anza mwendo,binti m mrembo na bado wa ng'ara"
 
e6bb554c38aeffd4a952589bbcfc13c9.jpg
Natoa Machozi ya Furaha. Huu wimbo aliuimba sana. Ni miaka ile ya 2001/2002,long time
 
Huyu akishirikishwa anabamba sana kuliko kuimba mwenyewe
 
Kabla ya kuchagua wimbo atume picha tatu zikionyesha chura anarukaruka au akikojozwa na gadner.
 
1.Faraja

2.Siku Hazigandi-Remix(Guitar Version)

3.Moyo- Lady JD ft Papii Kocha

4.Ndi Ndi Ndi

Katika hizote,Ndi Ndi Ndi ndiyo funika bovu.
 
Back
Top Bottom