Nyimbo ipi ya lady jaydee commando ilikubamba zaidi

1:Binti

2: Sema nae


Na ngoma ya tatu ni ile aliyomtunga kisha nasma hamisi kidogo akauimba...... Unaoitwa zao
 
Binti
" binti amka acha sikitikaa binti amka acha sononekaa,,binti amka jikaze anza mwendo,binti m mrembo na bado wa ng'ara"
 
Huyu akishirikishwa anabamba sana kuliko kuimba mwenyewe
 
Kabla ya kuchagua wimbo atume picha tatu zikionyesha chura anarukaruka au akikojozwa na gadner.
 
1.Faraja

2.Siku Hazigandi-Remix(Guitar Version)

3.Moyo- Lady JD ft Papii Kocha

4.Ndi Ndi Ndi

Katika hizote,Ndi Ndi Ndi ndiyo funika bovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…