Nyimbo kali

Nyimbo kali

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,327
Unajua vile inakua safi eeh...Weusi and their king Joh Makini team up with Mzee wa Masauti Bella

Nyimbo nzuri sana....

Christian Bella katika maneno ya wimbo huo anasema "utatunza penzi langu nataman na mimi nijue, au utaniacha na mimi niumie...kilicho moyoni mwako natamani nijue...

"Nilipotoka nishaumizwa sana, na nimeshakutana pia na vingi..na ndo mana nina wasiwasi wa kupenda mimii,, yan siamini kabisa kama ntampata kweli atakaetunza penzi langu mimi,sijui, asiishi maisha ya kuiga, sio ya kwenye insta na facebook, mule kila mutu muzuri anaishi maisha mazuri kwanza kakulia maisha ya kishua...""

2c42370f7657e62f21120fec6fddb256.jpg
 
Acha kumfananisha Bella na vitu vya kijinga
sijamfananisha kaka!
em anzia mwanzo.
halafu kuwaita binadamu wenzio vitu vya kijinga sio tabia njema!!
halafu kama wewe ni shabiki kweli wa muziki
mheshimu Tundaman ana mchango wake mkubwa tu kwenye Fleva za Bongo!!

Halafu nmewafananisha kulia lia naomba elewa hilo!
kila mziki wao wanalia lia tuu!

halafu huyo bella wala hana level za hivo unavodhani!!! kama ni mziki wa live ThT wanaimba sana tu!
live wanaimba mpaka kanisani!! nothing new
jifunze kuthamini watu na michango yao katika tasnia
 
Back
Top Bottom