princess ariana JF-Expert Member Joined Aug 19, 2016 Posts 9,245 Reaction score 18,347 Dec 12, 2016 #21 3,4,5 ndio zingekua 1/2/3 waache waoane usmeisahau
supermarket JF-Expert Member Joined Sep 10, 2016 Posts 7,453 Reaction score 10,952 Dec 12, 2016 #22 Sina muda huo - leyla rashidi Udugu hazina yetu - mzee yusuph Hainaga ushemeji - manfongo Alikiba - aje Salome - diamond platnumz Bado - harmonize
Sina muda huo - leyla rashidi Udugu hazina yetu - mzee yusuph Hainaga ushemeji - manfongo Alikiba - aje Salome - diamond platnumz Bado - harmonize
Lyamber JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 11,716 Reaction score 18,828 Dec 12, 2016 #23 Kuna kwaito mix fulani hivi lazima zipigwe kwenye harusi...
Bome-e JF-Expert Member Joined Jan 3, 2014 Posts 17,179 Reaction score 26,188 Dec 12, 2016 #24 Namba 5,4 Hizo huwezi acha zisikia!Nadhani ndio zilipaswa kuwa namba 1 na 2
A Andyhaule Member Joined Dec 1, 2016 Posts 32 Reaction score 34 Dec 12, 2016 #25 Mkare_wenu said: Hainaga ushemeji haipo?[emoji12] Click to expand... Ahh mkuu hiyo shida
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,057 Reaction score 39,387 Dec 12, 2016 #26 Nimekuchagua wewe bob ludala
binti kiziwi JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 11,201 Reaction score 28,642 Dec 12, 2016 #28 Waache waoane, salome
Leak JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,916 Reaction score 43,505 Dec 12, 2016 #29 Mbona aje ya Alikiba haipo hapo? basi mnanua madj wa maharusi wapige nyimbo zenu...
mamaudaku JF-Expert Member Joined Nov 24, 2016 Posts 706 Reaction score 467 Dec 12, 2016 #30 Wimbo wa luiza mbutu Aiya iya kuolewa utarudi Nyumbani kutembea mpaka nje ya Tz maharusi ya watanzania wanapiga Sana na wimbo wa isa Matona kimasomaso
Wimbo wa luiza mbutu Aiya iya kuolewa utarudi Nyumbani kutembea mpaka nje ya Tz maharusi ya watanzania wanapiga Sana na wimbo wa isa Matona kimasomaso
C chotera JF-Expert Member Joined May 19, 2016 Posts 6,560 Reaction score 15,864 Dec 12, 2016 #31 Loliwe ya zakhara wa south africa
rama bendu JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 310 Reaction score 220 Dec 12, 2016 #32 Rangi ya chungwa Kitambaa cheupe
screpa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 10,857 Reaction score 15,866 Dec 12, 2016 Thread starter #33 princess ariana said: 3,4,5 ndio zingekua 1/2/3 waache waoane usmeisahau Click to expand... Nilisahau kuweka sawa hilo, hiyo list yangu sikumaanisha kwamba 1 ni bora zaidi ya nyingine, its just randomly
princess ariana said: 3,4,5 ndio zingekua 1/2/3 waache waoane usmeisahau Click to expand... Nilisahau kuweka sawa hilo, hiyo list yangu sikumaanisha kwamba 1 ni bora zaidi ya nyingine, its just randomly
Salahan JF-Expert Member Joined Sep 10, 2014 Posts 2,963 Reaction score 3,685 Dec 12, 2016 #34 Harus ikakosa wimbo wa Bob rudala nimekuchagua wewe hiyo siyo harusi wandugu( joke)
Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 29,909 Reaction score 32,414 Dec 12, 2016 #35 jamani mnaiacha vipi ngoma ya Bob rudala.. nimekuchagua we!!??
Bonny JF-Expert Member Joined Feb 21, 2013 Posts 13,370 Reaction score 29,968 Dec 12, 2016 #36 Hvi umeitaja kidekule hapo?
1gb JF-Expert Member Joined Jun 30, 2013 Posts 2,199 Reaction score 2,859 Dec 12, 2016 #37 mboni za dini sioni
modavid JF-Expert Member Joined Nov 8, 2016 Posts 705 Reaction score 628 Dec 12, 2016 #38 kuolewa -luiza mbutu
BAVARIA77 Member Joined Dec 6, 2016 Posts 32 Reaction score 10 Dec 12, 2016 #39 Harus za Aina gan mzee be specific
K Kashmir Member Joined Nov 27, 2016 Posts 26 Reaction score 37 Dec 12, 2016 #40 Utamu ya Rose muhando haikosi