Nyimbo maarufu kwenye maharusi na shughuli mbalimbali

Nyimbo maarufu kwenye maharusi na shughuli mbalimbali

Sina muda huo - leyla rashidi
Udugu hazina yetu - mzee yusuph
Hainaga ushemeji - manfongo
Alikiba - aje
Salome - diamond platnumz
Bado - harmonize
 
Kuna kwaito mix fulani hivi lazima zipigwe kwenye harusi...
 
Namba 5,4
Hizo huwezi acha zisikia!Nadhani ndio zilipaswa kuwa namba 1 na 2
 
Back
Top Bottom