Nyimbo mpya ya Dull Sykes inachochea ukabaji

Nyimbo mpya ya Dull Sykes inachochea ukabaji

kitonsa

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2011
Posts
1,211
Reaction score
2,649
Leo nilikuwa naangalia East Africa tv nikakuta kuna nyimbo ya Dull Sykes nadhani ni mpya, ina shairi moja linalosema " iba, kaba ilimladi usikose party.." Nijuavyo mimi vijana wa kitanzania wakikosa pesa ya kwenda club ni lazima watumie hii nyimbo kuharalisha ukabaji.
 
Balaza la sanaa limelala,nakumbuka mtoni walipiga marufuku(walipiga ban) video ya The Game ft lil wayne-Red nation kwamba inasupport violence lkn kwa bongo video ya joh makin-bye bye inahamasisha sana vurugu lkn inaachwa na hiyo ya dully birbon inasupport wizi na uporaji
 
Inanikumbusha nyimbo ya banza stone mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe majambazi huko handeni walipola bus na kuwaimbisha abiria nyimbo hii. Siwezi kushangaa wavuta bhangi kutumia hayo mashairi ya dull kuwachochea kupora watu
 
Back
Top Bottom