kitonsa
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 1,211
- 2,649
Leo nilikuwa naangalia East Africa tv nikakuta kuna nyimbo ya Dull Sykes nadhani ni mpya, ina shairi moja linalosema " iba, kaba ilimladi usikose party.." Nijuavyo mimi vijana wa kitanzania wakikosa pesa ya kwenda club ni lazima watumie hii nyimbo kuharalisha ukabaji.