Nyimbo nzuri za mahaba

Nyimbo nzuri za mahaba

JOESKY

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
816
Reaction score
2,034
Mapenzi ni kitu ambacho kwa asilimia kubwa kinatawala katika nafsi ya mwanadamu. Amini usiamini kubali ukatae mapenzi yana thamani sawa na uhai wako.

Mimi ninapokuwa niko free napenda kusikiliza nyimbo zifuatazo kwa utulivu na kwa hisia nzito nikitafakari mengi juu ya wapendwa wanaonipa amani na furaha.

1. Love zone ~ Billy Ocean
2. Mystery Lady ~ Billy Ocean

3.One more night ~Phil collins
4.I'm Missing you ~Joe Thomas

5. Always(Adult contemporary) ~James Ingram
6. Do you Remember ~Phil collins

7. Cassanova~ Revert
8. I will always Love you~ Whitney Hoston
9....….
10........
11...........and the List goes

Vipi kuhusu wewe ni nyimbo gani nzuri unanishauri nizitafute na nisikilize??
 
James Bay yuko wapi?, Vipi kuhusu Marc Antony?, Passenger umemuacha wapi?, Celine Dion anakosaje kwenye hiyo list mkuu
 
James Bay yuko wapi?, Vipi kuhusu Marc Antony?, Passenger umemuacha wapi?, Celine Dion anakosaje kwenye hiyo list mkuu
Mkuu wote hao nawasikiliza ndio maana kuanzia tisa hadi kumi na moja nimesema

The list goes

wapo wengi sana siwezi kumaliza leo Mfano Enrique iglesious, Elton John, Philip Bailey, Lionel Richie nk nk nk
 
Napenda zaidi wasanii wa kike..hizi zipo kwenye playlist na kila siku nazisikiliza

I love me some him-ton braxton

All the man i need-Whitney Houston

Time after time-Blaque

Give me you-Tamia

Let love lead the way-Spice Girls

I wanna love u forever-Britney Spears

I got u-Leona Lewis

Im with u-Arvil lavigne
 
Mchumba Mbona hutokei mamaweee🎵🎵nakuja!!l lolo lilo lilo lilo lilooooooo🎵🎵nakuja!!
😂😂😂😂
Gest nishalipa Yani Mambo yote shwariii🎵🎵 ...😂😂😂 Huo wimbo bwana
 
Nyimbo ulizoandika sijui hata moja 😟
 
Kuna nyimbo nzuri za mahaba kusikiliza wakati wa mgegedo

Huwa zinaongeza hisia,upendo na ukaribu

Kuna wakati/muda wa kupiga t@ko unakuwa unaendana na biti

Kuna maisha baada ya nyimbo za mahaba
 
Back
Top Bottom