Nyimbo ya Hamisa inafanya vizuri kuliko ya ruby , Ali kiba, etc - kufanikiwa ni akili sio nguvu

Kwahiyo unataka kila msanii aanzishe ugomvi na Platnumz...

Muanze na kumlipa.
 
Alikiba kwa sasa hana lolote anategemea bifu na diamond jipya hanaa
 
Saivi mbwa wetu nyumbani nae kaanza kuimba!... atatoka tuu.. maana kama Yule mbuzi hamisa katoka mbwa wetu atashindwaje???
 
Umekosea sana kufananisha thamani ya Kiba na huyo mdangaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…