Nyimbo ya Jose Mourinho. Je utanipenda?

Nyimbo ya Jose Mourinho. Je utanipenda?

Alphaking2023

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
2,092
Reaction score
2,123
ooh..!Ghafla mipango sina nimerudi kitaanee, Nimeshindwa kuongoza timu nimesepa Chelsea, umeneja umebaki jina hanitaki Romanee, Hazard goli hakuna Costa ndo hataree,. oh na mashabiki zangu walonisifu kwa maneno mataamu leo ndo maadui zangu ni mitusi tu kwa instagram, willian si winga wangu eti nae hanifahamu, Hata john tery nikimpigia anifokea kama salaamu,.

Na magazeti ya England kwa kukuza habari si unajuaga utasikia tafarani Mourinho wa Chelsie Amemwagwa,Kwasasa nilivyomnyonge maneo ya kuwajibu sianaaaga, Kama naiona michambo ya makocha wenzangu nliowachekaga

Oh! nnayosema yana maana sababu hakuna anaejua kesho,Anaepanga ni Rabana ila ameficha ni confidential Ukisali omba sana na anaekuja asiwe kichekesho mana rafiki wa jana ndo adui mkubwa keshoo...je utanipendaagaaa au nawe utanimwaaga..!
 
Back
Top Bottom