Nyimbo ya kidogo ya Diamond yaweka record Uk/England

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Diamond Platnumz amefanikiwa kile ambacho
hakuna msanii wa Tanzania amewahi kufanikiwa
huku kukiwa na wasanii wachache tu wa Afrika
wamekifikia – kuingia kwenye playlist ya kituo
cha redio cha BBC Radio 1Xtra.
Imefahamika kupitia Playlist ya wiki nzima ya
kituo hicho maarufu cha redio iliyotolewa Ijumaa
hii, August 12. Diamond na P-Square,
wanaungana na Wizkid kama wasanii pekee wa
Afrika waliopo kwenye playlist ya kituo hicho
Wizkid ameingia na wimbo wake wa shabba aliowashirikisha wasanii wa marekani trey songz, chriss brown na french mantana

NOTE: wimbo huu wa kidogo ulipotoka baadhi ya wabongo waliponda sio mzuri au haueleweki lakini cha ajabu nyimbo hii inaendelea kufanya vizuri barani africa na duniani
Hongera diamond kwa kuendelea kuwa mstari wa mbele kupeleka mziki wetu mbali
 
Ila sio mzuri sana kiukweli, ukiuweka kidogo na NANA bado raia watanyanyuliwa kwenye viti na Nana, ila kama unafanya vizuri heri kwake
 
Ila sio mzuri sana kiukweli, ila kama unafanya vizuri heri kwake
Tatizo haujui soko la africa likoje hata uimbe nyimbo yenye mashairi mazuri vipi soko la nje hawajui kiswahili wao hawajali utaishia kuhit kenya tu
Nchi zisizojua kiswahili wanapenda melody na beat mfano eddy kenzo wa uganda nyimbo zake anaimba kiganda na zote ni za kudance na ndo anafanya vizuri kuliko nje ya uganda kuliko wakongwe jose chamelione na bebe cool amapiga show africa nzima.
Hata juzi nilimsikia diamond akisema east africa radio kuna nyimbo utaimba mashairi mazuri watakupiga mtv, trace lakini haziwezi hit africa kwasababu hawaelewi kiswahili kama sio za zakuchezeka
 
Sina tatizo na mashairi, ila hata melody kawaida, nilitarajia makubwa hasa ukizingazia hao watu alioshirikiana nao
 
Sina tatizo na mashairi, ila hata melody kawaida, nilitarajia makubwa hasa ukizingazia hao watu alioshirikiana nao
YAN WW UACHAGE USHBIKI ILE NYIMBO SIO YA KAWAIDA NI NYIMBO NZURI MILA IDARA MELODY ZA WASANII AUDIO QUALITY DANCING HADI VIDEO ARANGEMENT AND QUALITY WW UKAWAIDA UNAUONA WAP TENA MUACHE MAMBO YA UTEAM TEAM KWENYE VITU VIZUR HATA HAIBU HUNA WIMBO UNAWEKA REKODI MPYA KILA IDARA UNASEMA MBAYA WE VP
 
Sky is the limit. ..don't stop till you get enough
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…