brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Diamond Platnumz amefanikiwa kile ambacho
hakuna msanii wa Tanzania amewahi kufanikiwa
huku kukiwa na wasanii wachache tu wa Afrika
wamekifikia – kuingia kwenye playlist ya kituo
cha redio cha BBC Radio 1Xtra.
Imefahamika kupitia Playlist ya wiki nzima ya
kituo hicho maarufu cha redio iliyotolewa Ijumaa
hii, August 12. Diamond na P-Square,
wanaungana na Wizkid kama wasanii pekee wa
Afrika waliopo kwenye playlist ya kituo hicho
Wizkid ameingia na wimbo wake wa shabba aliowashirikisha wasanii wa marekani trey songz, chriss brown na french mantana
NOTE: wimbo huu wa kidogo ulipotoka baadhi ya wabongo waliponda sio mzuri au haueleweki lakini cha ajabu nyimbo hii inaendelea kufanya vizuri barani africa na duniani
Hongera diamond kwa kuendelea kuwa mstari wa mbele kupeleka mziki wetu mbali