Mtu wa Pwani
JF-Expert Member
- Dec 26, 2006
- 4,191
- 677
mara nyingi wasanii watoa kitu kulingana na mahitaji ya soko, kama wewe unaona huo wimbo haufai bac ujue ni jamii nzima haifai, kwa sababu jamii imelishwa inachokitaka, maana cha ajabu huo wimbo umeuona kwenye TV tena pengine ya Taifa na watu wanaupenda tujamani kuna nyimbo mpya ya wale offside trick ya kule zenji ambayo nimeiona kwenye tv jana imeniacha hoi
ile nyimbo mbona imekaaa kimatusi sana
anasema wanamvyomla jicho na wanamvyombirua birua
kuna sehemu samaki huchanganywa changanywa kwa mchuzi nynya na biringani
kwa kweli ile nyimbo haijakaa vyema kimaadili au wadau mnasemaje??
jamani kuna nyimbo mpya ya wale offside trick ya kule zenji ambayo nimeiona kwenye tv jana imeniacha hoi
ile nyimbo mbona imekaaa kimatusi sana
anasema wanamvyomla jicho na wanamvyombirua birua
kuna sehemu samaki huchanganywa changanywa kwa mchuzi nynya na biringani
kwa kweli ile nyimbo haijakaa vyema kimaadili au wadau mnasemaje??
Nyimbo hizo ni ovyo hazifai zinaendeleza culture ya kuwalaumu victim na sio kuangalia tatizo,hao samaki wengi wao ni victim tu.
....Mmmh thatha kwani THAMAKI hawa wanaowasema wao si ndo TUNAOKULA kila siku jamani au???,acheni kuhamisha GOAL POST hizo,jamaa wana maana halisi ya SAMAKI na sio SAMAKII waleeee!!!
we ndo wale wale i guess,
,, Ha ha haaaaaa!!,sa kumbe wana maana gani MKUU??
Wewe ndio umekaa kimatusi matusi au labda ulikuwa unataka jamaa waimbe nyimbo ya matusi,hawa jamaa wameonyesha huruma juu ya hawa viumbe ambao walistahili kuja nchi kavu kuvuta hewa then warejee kwao,lakini mimi nawalaumu sana hawa wanaopenda kuwa vua vua hawasamaki,ndio wanaowasababishia matatizo yote hayo,pole sana samaki kwa kuvuliwa vuliwa!!!Jamani kuna nyimbo mpya ya wale offside trick ya kule zenji ambayo nimeiona kwenye tv jana imeniacha hoi
Iile nyimbo mbona imekaaa kimatusi sana
Anasema wanamvyomla jicho na wanamvyombirua birua
Kuna sehemu samaki huchanganywa changanywa kwa mchuzi nyanya na biringani
Kkwa kweli ile nyimbo haijakaa vyema kimaadili au wadau mnasemaje?
Mkuu mbona kuliwa jicho tuu ndio kumekushtua,we unamaanisha nini kuhusu hilo jicho?Najaribu kuvuta picha naona ile samaki ina maana mbaya sana na hasa wanapokazia kuliwa jicho maana kisha kichwa wanampa paka hapo tafsida yake ni pana walonayo waiweke ili watu waisikie na waweze kuichangia