Nyimbo za Franco Luambo Makiadi

Nyimbo za Franco Luambo Makiadi

Morning_star

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2018
Posts
6,042
Reaction score
17,320
Wakuu,

Wapi naweza kupata nyimbo za huyu mwamba Franco Luambo Makiadi za 70s and early 80s. Natanguliza shukrani
 
Wakuu,

Wapi naweza kupata nyimbo za huyu mwamba Franco Luambo Makiadi za 70s and early 80s. Natanguliza shukrani
Katika dunia hii ya utandawazi na mitandao bado una maswali sampuli hiyo?Nenda hata nyumbani kwa akina "Boomplay" uwaulize kama naongopa.
 
Wakuu,

Wapi naweza kupata nyimbo za huyu mwamba Franco Luambo Makiadi za 70s and early 80s. Natanguliza shukrani
Ndugu, ingia YouTube download kupitia TubeMate, video ikiwa kwenye file lako unaenda kui convert kupitia Video Maker. Kila kitu unacho kwenye simu yako ndugu

Download TubeMate na Video Maker, utachukua kila nyimbo unayo itaka
 
Back
Top Bottom