Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,008
- 17,480
Katika dunia hii ya utandawazi na mitandao bado una maswali sampuli hiyo?Nenda hata nyumbani kwa akina "Boomplay" uwaulize kama naongopa.Wakuu,
Wapi naweza kupata nyimbo za huyu mwamba Franco Luambo Makiadi za 70s and early 80s. Natanguliza shukrani
Ndugu, ingia YouTube download kupitia TubeMate, video ikiwa kwenye file lako unaenda kui convert kupitia Video Maker. Kila kitu unacho kwenye simu yako nduguWakuu,
Wapi naweza kupata nyimbo za huyu mwamba Franco Luambo Makiadi za 70s and early 80s. Natanguliza shukrani