valid statement
JF-Expert Member
- Sep 18, 2011
- 2,852
- 873
ukweli utabaki tu kuwa nyimbo za sauzi ni tamu na zinapendezea sana zikipigwagwa kwenye tafrija za harusi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zile style mi mpaka leo sizijui,
Nishajaribu sana nikaishia kwenda off-step na wenzangu,
Si nitampata wapi private trainer wa kuynifundisha!!
We wazijua zile?
ni nyimbo gani za kibongo zikipigwa harusini zitapendeza... ukiondoa za pwani?
ofcoz nazikubali nyimbo za kisauzi ile mbaya
Hapo kwenye red ndio kipi hicho mkuu?
Pengine nimekosea jina, ni wimbo wa malaika, ule maarufu sana. kama unafahamu jinale waweza nijuza!
Ni kweli sisi hatujui kujivuni tunako toka,na hisi watu wengi hawaendi kutembelea sehemu wazazi wao waliko toka.Utumwa Tu. Mkataa kwao Mshamba. Angalia majirani zetu Kenya wanapiga za kikabila unafurahi.
Kwa kuiga huku huku ndio maana hata nyimbo ile ya "Miaka 50 ya Uhuru" ni ya kishamba tu