Nyimbo za kuimba when you are Driving

Nyimbo za kuimba when you are Driving

apo juu kwani PRETA anakuwa anatokapi na iyo 40Km/h?

APA nahisi nipo 140km/h
Posted via Mobile.....hahahaha naona unakaribia "precious memories"
 
Hii ni kwa wale wapwa na mabinamu hasa hasa Teamo, Finest, Asprin, Keizer, Roya roy, Bigirita, G-Y etc ....pale mnapotoka kwenye infii wakati mnawai home....


60 km/h - "It is well with my soul"

80 km/h - "God will take care of you"

100 km/h - "Guide me oh great Jehovah"

120 km/h - "Near my God to thee"

140 km/h - "This world is not my home"


160 km/h - "Lord Iâm coming home"

180 km/h - "Precious memories"

200 km/h - "Rest in peace"



Have a nice weekend........


Hommie tatizo mimi huwa nakuwa kwenye 260 km/h
 
Hii ni kwa wale wapwa na mabinamu hasa hasa Teamo, Finest, Asprin, Keizer, Roya roy, Bigirita, G-Y etc ....pale mnapotoka kwenye infii wakati mnawai home....


60 km/h - "It is well with my soul"




80 km/h - "God will take care of you"

100 km/h - "Guide me oh great Jehovah"

120 km/h - "Near my God to thee"

140 km/h - "This world is not my home"


160 km/h - "Lord I’m coming home"

180 km/h - "Precious memories"

200 km/h - "Rest in peace"



Have a nice weekend........




220 je? au haina wimbo wake?
mwendo wa kawaida sana huo ukiwa una long distance to cover
 
220 je? au haina wimbo wake?
mwendo wa kawaida sana huo ukiwa una long distance to cover

duuuhhh mi nasikilizaga nyimbi kama hizi nikiwa nime relax .....
nyimbo ninazosikiliza wakati naendesha ni kinyume kabisa na hapo....
 
dah! blue bayou ya linda ronstadt.....ukiwa unatoka zako ofisini umechoka...safi sana hii kitu....it makes you feel relaxed
 
Mwendo wa kawaida kwa Tz acha sanaa wewe kwa barabara zipi?

bara bara hizi hizi mkuu ila inategemea na gari unayoendesha sio uendeshe corrola au suzuki escudo speed 180.. endesha VW toureg, mercedes, au vx gari ambalo liko stable hadi 200 unaenda na nakuhakikishia utaona kama unaendesha mwendo wa kawaida kabisa
 
In USA highways, interstate speed drive, 210km/hr is normal, so it depends ni wapi, but home 140km/hr is RIP already imefika
 
Back
Top Bottom