Nyimbo za maana zilizotoka hivi karibuni

DEDE-Lavalava, Fresh-Fid Q,Zaiid-wowowo na jux-utaniua
 
Mi niliona video moja ya wale jamaa wanapanda beetle lakini hawataki kwenda na mwenzao kwasababu hajaulamba. Kitu kilichonifanya nicheke mpaka sasa kile kipande wanamtupia makandambili yake dirishani. Jamaa wanavisa sana
 
Favourites: Wowowo-zaiiiid, Welcome to my city (verse ya mchomvu Adam), Sina Jambo- Bill nenga, Jux- Utaniua..
Vibe-2 chains, Ty $, Jhene Aiko & Trey Songz.
 
yaap yuko chin ya tetemesha ni kutoka mwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi kidbway yuko vizuri, akinyanganywa msanii anaibuka na mwingine tena anayeimba tofauti na wa mwanzo.
Hussein machozi alipoondoka akaja na sajna, wakazinguna akaja na baraka, baraka akaondoka amekuja na coyo.
Jamaa yuko safi sana
 
Beka tuwe sare ft Mr blue

New broom sweeps well but old one knows every corner!!
 
Ok
 
Huyo jamaa ni anga zingine kabisa sema hana promo na anatoka mbali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa hakuishiwa mistari, tofauti wakongwe wengi wa hip hop..tena wenye albums nyingi ila huwa wanasanda kwenye dakika kumi za maangamizi, ila huyu jamaa alichana mpaka akaomba kuongezewa muda.

Huyu dogo ni noma sana aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la Utaniua naona kama ni version two ya Uzuri wako,kuanzia melody mpk beat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…