elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
- Thread starter
- #21
Ngoja niistream kabla sijaidownloadItafute
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja niistream kabla sijaidownloadItafute
Coyo hivi yuko chini ya tetemesha?
Jamaa anajua nahusi atakuwepo fiestaHuyu jamaa anaandika na anaimba sana, ila wabongo ndo wamemkazia..yan hata media nyimbo zake hazisikiki
Sent using Jamii Forums mobile app
coyo anachana sana, nilimsikia kwenye planet bongo..dakika kumi za maangamizi..ni hatari
yaap yuko chin ya tetemesha ni kutoka mwanzaCoyo hivi yuko chini ya tetemesha?
Huyo jamaa ni anga zingine kabisa sema hana promo na anatoka mbali sanacoyo anachana sana, nilimsikia kwenye planet bongo..dakika kumi za maangamizi..ni hatari
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi kidbway yuko vizuri, akinyanganywa msanii anaibuka na mwingine tena anayeimba tofauti na wa mwanzo.
Jux - utaniua (manekee kaua sana sana maana nyimbo za namna hii yeye ndo mchawi wake)
Bright - Ni wewe (huyu dogo nilikuwa na mu under estimate ila kwa hii ngoma kwakweli nimekubari ni mkali sana sana sana ngoma kali sana)
Zaiid - wowow (hii ngoma ina ubunifu mkali japo alichokiimba !!!!)
Chidbees- kababayee (hii ngoma tamu sana beat ya lufa kaua sana na zile violins)
Anajua sana jimy chansa sema manager wake bishoo sana hamfanyii hata promo
Huyu jamaa hakuishiwa mistari, tofauti wakongwe wengi wa hip hop..tena wenye albums nyingi ila huwa wanasanda kwenye dakika kumi za maangamizi, ila huyu jamaa alichana mpaka akaomba kuongezewa muda.Huyo jamaa ni anga zingine kabisa sema hana promo na anatoka mbali sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la Utaniua naona kama ni version two ya Uzuri wako,kuanzia melody mpk beatJux - utaniua (manekee kaua sana sana maana nyimbo za namna hii yeye ndo mchawi wake)
Bright - Ni wewe (huyu dogo nilikuwa na mu under estimate ila kwa hii ngoma kwakweli nimekubari ni mkali sana sana sana ngoma kali sana)
Zaiid - wowow (hii ngoma ina ubunifu mkali japo alichokiimba !!!!)
Chidbees- kababayee (hii ngoma tamu sana beat ya lufa kaua sana na zile violins)