Nyimbo za maana zilizotoka hivi karibuni

Kumbe basi tuko wengi na media zinavyojua kumbeba. Nilitegemea libebe ya beka iwe jiwe la mwezi lakini waapi.
Aslay anajua ila recently anaimba nyimbo kama zinafanana na nyingine production iko chini coz ya studio
Unamuono kama wangu nyimbo nyingi za aslay zina radha zinazo fanan. BEKA ni tofauti kidogo hii nyimbo ya Libebe bado haija chuja kwenye masikio ya watu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MAUA SAMA - KATU KATU
JUX - UTANIUA UA
SAIDA KAROLI,G.NAKO, BELLE9
CHIN BEES - KABABA YE
 
Nilikotoka ni mbali by Ambwene mwasongwe
 
ZIMBABWE ndio habari ya mujini...
 
“Lavalava ft young dee- natafuta” bonge la ngoma. Huamin ingia google download ulete mrejesho hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…