elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamuono kama wangu nyimbo nyingi za aslay zina radha zinazo fanan. BEKA ni tofauti kidogo hii nyimbo ya Libebe bado haija chuja kwenye masikio ya watu....Kumbe basi tuko wengi na media zinavyojua kumbeba. Nilitegemea libebe ya beka iwe jiwe la mwezi lakini waapi.
Aslay anajua ila recently anaimba nyimbo kama zinafanana na nyingine production iko chini coz ya studio
We unaongea pumba gani, kuna nyimbo ambayo chinbeez ka flow pekeyake na maneno yakasikika freshi zaidi ya kababa ye? Btw Luffa is a beast beat maker
Yaani kuna wasanii wanatajwa humu siwajui wala siawahi kuwasikia.
Toa mifano mitano.. otherwise ni ukanda unaleta.. kama inawezekana jibebeni na nyieKaskazn hakuna msanii wa kuendana na ushindan uliopo sasa kwenye game sema ndo hivyo jamaa wanabebwa kinoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nayo ni nyimbo ya maana?Umesahau MAKU ya ney wa mitego