Nyimbo za Navy Kenzo zaniongezea wateja mgahawani kwangu

Nyimbo za Navy Kenzo zaniongezea wateja mgahawani kwangu

fungi06

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2020
Posts
738
Reaction score
1,017
Unajua kila alfajiri hapa nchini Ujerumani ninafungua kamgahawa kangu; ni kagari nimekafanya mgahawa unaotembea.

Sasa kuna sehemu apa karibu nimepata location nzuri ina mchanganyiko wa watu, nikaamua nipaki gari langu aina Fiat ndogo.

Nikashusha spika zangu kubwa mbili nika-play nyimbo ilivo fika nyimbo za Navy Kenzo ( Aika na Nahreel) nikaanza kuona wakicheza wakifurahi nakusogelea kamgahawa changu na kuniomba niwafungie chips na fried chicken, nimeuza almost gunia zima leo.

Bongo wasanii wetu wanajua make good sound music melody

Team Navy
 
Promo hii. Kwamba wateha wako wanawaelewa hao waimbaji kuliko wengine?
 
TANGAZO. Tunauza movies za aina zote, bei ni 1500 - 3500 (inategemea ukubwa wa movie) pia tuna tuna kwa WhatsApp na E-mail. Ni PM kwa wanaohitaji!!! KARIBUNI SANA!
 
Back
Top Bottom