Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,564
- 1,991
wa kwako
Duh! Hapo hauchomoi... Huo wimbo kwanza ni wa long time. Pili mtarimbo ni zana ya kunyanyulia vitu vizito. Kwa kiingereza unaitwa lever. Sasa ukitumia kitu ambacho sio stiff kuchanyulia mzigo, lazima kilale au kupinda...
wakoNipo nyumbani nimefungulia radio kwa sauti kubwa kuna nyimbo nasikiliza hapa wanaimba, umelala huoo umelala huoo, umelala huoo mtarimbo umelala doroo x2
Sasa mimi sielewi huo mtarimbo uliolala niwa nani?