Nyimbo za siku hizi bana hazieleweki.

Nyimbo za siku hizi bana hazieleweki.

Kirikou Wa Kwanza

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2013
Posts
3,564
Reaction score
1,991
Nipo nyumbani nimefungulia radio kwa sauti kubwa kuna nyimbo nasikiliza hapa wanaimba, umelala huoo umelala huoo, umelala huoo mtarimbo umelala doroo x2

Sasa mimi sielewi huo mtarimbo uliolala niwa nani?
 
Duh! Hapo hauchomoi... Huo wimbo kwanza ni wa long time. Pili mtarimbo ni zana ya kunyanyulia vitu vizito. Kwa kiingereza unaitwa lever. Sasa ukitumia kitu ambacho sio stiff kuchanyulia mzigo, lazima kilale au kupinda...
 
Dah, basi mimi nilijua mtarimbo ni "dushelele" tehe tehe tehe!
 
Back
Top Bottom