Nyimbo za singeli ni bora?

Nyimbo za singeli ni bora?

Lucas Avidan

New Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
2
Reaction score
0
Nitumie nyimbo za singeli kwamba unafikiri ni safi sana, nimeshasikiliza wimbo wa singeli wiki jana, na ninataka kuiliza nyimbo nyingine.
 
Mimi sisemi kiswahili vizuri kwa sababu mimi sio mtanzania - samahani - ninasoma kiswahili kila siku ili kuiongea vizuri

wewe unajua nyimbo za singeli?
 
Back
Top Bottom