Nyimbo za Tanzania zatumika kuhamasisha maandamano Kenya

Tungekuwa na upinzani dhabiti sa hv tusingekuwa tunaibiwa twiga live live , tuna kundi la hovyo linalojiita upinzani huku likila sahani moja na matapeli na linazibia njia kwa upinzani dhabiti kuimerge
Litaachaje kundi la hovyo wakati mliwapiga bunduki na kuwajaza kwenye viroba?
 
nami nilikuuliza swali kama hili ulilomjibu john. Ushauri wangu, tumpe mama muda.
 
Tungekuwa na upinzani dhabiti sa hv tusingekuwa tunaibiwa twiga live live , tuna kundi la hovyo linalojiita upinzani huku likila sahani moja na matapeli na linazibia njia kwa upinzani dhabiti kuimerge
Hii nchi sijui upumbavu utaisha lini, kwahiyo mmeacha kumlaumu mwizi mnamlaumu mtu aliyesimama pembeni?

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Tungekuwa na upinzani dhabiti sa hv tusingekuwa tunaibiwa twiga live live , tuna kundi la hovyo linalojiita upinzani huku likila sahani moja na matapeli na linazibia njia kwa upinzani dhabiti kuimerge
Ule,ushibe kisha ujambe hovyo, halafu utegemee wapinzani waandamane kwa ajili yako? Sahau.

By the way wapinzani ni akina nani? Wewe uko kundi gani? Wakati wanaanzisha UKUTA uliwaunga mkono? Si ulikuwa busy kuwabeza ati wakiandamana wavunjwe miguu? Kula jeuri yako. Hata wewe waweza kuwa mpinzani kama huridhiki. Hakuna mtu aliyezaliwa kwa ajili yako wewe, Ebo!
 
Kuna wengine tuko vijijini hatujawahi kuona umeme majumbani mwetu, maji tumezaliwa tunakuta wazee wetu wanachota kwenye madimbwi na sisi tunaunga tela, bidhaa muhimu kwetu ni unga, mahindi, mihogo, magimbi, mchele,maharage nk vyote tunajilimia, ufisadi, semina, kulamba asali yanawahusu nyie wasomi waishio daslaama, chumvi, kiberiti, tunapata baada ya kuuza mifugo na mahindi, nyumba zetu zimeezekwa kwa nyasi, sasa watu kama sisi tunaanza je kuisumbua serikali yetu tukufu!!!!!!!!
 
Hamna aliyekata tamaa.... Wenye serikali wapo alafu mtu anakuja kulalamikia Chadema kuhusu Twiga kuibiwa? Unajitambua kweli? Mjilaumu wenyewe kung'ang'ania CCM miaka 60 Sasa alafu mnategemea ufisadi uishe?

Wanaitwa walamba asali, wahuni au vijana wa hovyo. Makundi matatu hayo hayana mchango wowote kwa taifa hili.
 
Jinsi ulivyojibu tu inaonyesha ni jinsi gani ujinga ulivyotawala katika vichwa vya watanzania wengi, Kama Nyerere alivyosema kwamba maadui wa taifa ni Ujinga Maradhi na Umasikini.Yaani unajivunia kabisa umasikini?? Kwamba mpo vijijini miaka 60 ya uhuru hamjawahi kuona umeme! Ma unathubitu kujisifia? Kwa hiyo unadhani ufisadi na ulambaji asali hauwaathiri? Mungu atusaidie!.Leo hii wewe na magimbi yako serikali yenye maono ingekataa kutumia bilioni kadhaa kwa semina za pongezi ili zikutafutie soko na kukujengea barabara nzuri ukauze magimbi yako uondokane na umasikini wako na hatimaye uondoe ujinga wako kichwani! Hopeless kabisa.
 
Shusheni uchumi wenu, sisi tunasubiri cheap skilled hardworking labor kutoka huko kwenu.
 
Mpo vizuri ndugu:

Tungekuwa na upinzani dhabiti sa hv tusingekuwa tunaibiwa twiga live live , tuna kundi la hovyo linalojiita upinzani huku likila sahani moja na matapeli na linazibia njia kwa upinzani dhabiti kuimerge
Inamaan huon kenya wanachi wanavyomsupport odinga, upinzani wa Tanzania hauna support ya wananchi
Kama alimiminiwa risasi mchana kweupe na wananchi waliufyata unawalaumuje
 
Inamaan huon kenya wanachi wanavyomsupport odinga, upinzani wa Tanzania hauna support ya wananchi
Kama alimiminiwa risasi mchana kweupe na wananchi waliufyata unawalaumuje

Ipo tofauti baina ya kutokuwa na support na kukosekana kwa hamasa.

Kukosekana kwa hamasa kunaanza na viongozi. Bila mwongozo wananchi hawana cha kufanya.

Raila akiufyata hata Kenya itakuwa kama sisi tu.

Hapo ndipo tunapokwama na tunapopaswa kupafanyia kazi mapema iwezekanavyo.
 
Tungekuwa na upinzani dhabiti sa hv tusingekuwa tunaibiwa twiga live live , tuna kundi la hovyo linalojiita upinzani huku likila sahani moja na matapeli na linazibia njia kwa upinzani dhabiti kuimerge
MBOWE anatuchota akili kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…