Nyimbo za Tanzania zatumika kuhamasisha maandamano Kenya

Tungekuwa na upinzani dhabiti sa hv tusingekuwa tunaibiwa twiga live live , tuna kundi la hovyo linalojiita upinzani huku likila sahani moja na matapeli na linazibia njia kwa upinzani dhabiti kuimerge
Dawa yao ilikuwa mkulungwa Magufuri tu ndio alideal nao vema aliwanyoosha kisawa sawa takataka hawa.
Wakishika mic wanajifanya wanauchungu na inchi jioni wanakaa meza ndefu na mawaziri wanapeana michongo na migao ya pesa.

Magufuri huo upuuzi hakufanya ndio maana walikuwa wanampiga vita kali hadi sasa wamemfanyia uharamia na bado hawaamini kama jamaa hatunae tena wanahangaika na legacy yake maana aliwapatia kisawa sawa.
 
Tungekuwa na upinzani dhabiti sa hv tusingekuwa tunaibiwa twiga live live , tuna kundi la hovyo linalojiita upinzani huku likila sahani moja na matapeli na linazibia njia kwa upinzani dhabiti kuimerge
Changamoto yao ilikuwa kuzuiwa kufanya Mikutano ya hadhara, haya mengine si changamoto kwao hivyo usitegemee haya kutokea Tanzania.
 
Tungekuwa na upinzani dhabiti sa hv tusingekuwa tunaibiwa twiga live live , tuna kundi la hovyo linalojiita upinzani huku likila sahani moja na matapeli na linazibia njia kwa upinzani dhabiti kuimerge
Wee jinga kweli. Wewe kwani mpinzani? Nani anakuzuia? Fanya siasa zako.unazoona zinafaa usilete visingizio
 
Eti hakuna Mungu kama wewe yahweee,dah aahahahh
 
Mungu anijaalie wanangu wasije kuwa machawa
Tofautisha uchawa na upigania haki. Lissu, Odinga, Maalim, Mandela, Tutu na wa namna hiyo ni wapigania haki.

Kina mwashambwa , joni, Jilala na wale waliojinasibu kuwa ni machawa wa mama ndiyo machawa wenyewe.

Inafahamika kwenye vyama vingine uchawa ni machukizo. Ila kile chenyewe.
 
Hata Chadema Huwa wanatumia nyimbo za Wakenya kuhamasisha vurugu..

Mfano sitosimama maovu yakitawala.
 
Siwezi kushiriki Maandamano. huchelewesha matokeo.
Ila msituni, unga nachangia.
 
Tena nyimbo ya dini!![emoji1787][emoji1787]
 
Watanzania ndio waliousaliti upinzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…