Nyimbo za vigodoro kwenye jukwaa la kimataifa la AFL ni ushamba

Nilishangaa sana kuimbwa kwa nyimbo yenye maudhui ya mke mtu sumu kwenye ufunguzi wa jukwaa kubwa kama la African Football League linalotazamwa na dunia nzima.

Kuweka nyimbo za vigodoro kwenye jukwaa kubwa hivi tulifeli pakubwa sana na kujiaibisha. Nyimbo za kuweka katika majukwaa ya kimataifa zinapaswa kuwa classic na kuonyesha hali ya uki-mataifa.
Najiuliza kwann Kiba hakuimba ule wimbo wa " Sio Leo Toka zamani"
 
Tatizo letu tunaishindwa kuangalia Context.

Hili Tamasha limefanyika Tanzania, Africa.
Ukitoa kuburudisha, waliweka wazi kuwa wanataka kuionesha dunia Tamaduni na radha za kiafrica. Ndio maana kuanzia show inaanza hadi mwisho mambo yalikua ni Kiafrika - Africa.

Unataka Alikiba aimbe nini? RnB, Blues? Sio radha za kiafrica.

Na option pekee kwa Alikiba ilikuwa ni amapiano- Mziki ambao chimbuko lake ni Africa.

N.B. Hii Company iliyoandaa hii Show sio ya Africa, ila bado walijitahidi sana kuonesha u-Africa Africa.
 
Nyimbo za vigodoro, nyimbo za ushambenga na kusutana hazifai kwenye platform kubwa ya kimataifa kama ile.

Mzee ulitaka kuimbwe nini na hakukua na wimbo rasmi ulioandaliwa wa AFL.

Wimbo una meseji za maisha yetu ya Kiafrika Afrika sioni tatizo kubwa kihivyo
 
Nilishangaa sana kuimbwa kwa nyimbo yenye maudhui ya mke mtu sumu kwenye ufunguzi wa jukwaa kubwa kama la African Football League linalotazamwa na dunia nzima.

Kuweka nyimbo za vigodoro kwenye jukwaa kubwa hivi tulifeli pakubwa sana na kujiaibisha. Nyimbo za kuweka katika majukwaa ya kimataifa zinapaswa kuwa classic na kuonyesha hali ya uki-mataifa.
Usijali, msimu ujao, timu yako pendwa IHEFU itashiriki, na msanii kipenzi chenu atatumbuiza!
Jinsi ulivyo jaa wivu, kuna siku utaionea wivu hata maiti!
 
Ihefu wmenivurugia akili za watu.

images (4).jpeg
 
Back
Top Bottom