Nyimbo za zamani za mapenzi

Tupendane - Kilimanjaro Band

šŸŽµMpenzi wangu naomba nikueleze pendo langu lililo moyoni mmmmm moyoni mwangu mpenzi wng mwenyez mungu muumba ardhina mbingu ndiyo shahidi wa pendo mmmmm moyoni mwangu

šŸŽµMapenzi ni kuvumiliana nami mpenz nimekuvumiliaaa

šŸŽµMapenzi ni kuaminiana nami mpenzi nimekuamini

šŸŽµMapenzi ni kuheshimiana nani mpnz nimekuheshimu

šŸŽµKama nyota na mwezi vilivong'ara angani tung'arishe penzi letu sote tupeane penzi bila choyo chochote na bila hiyana kwetu sote

šŸŽµElewa penzi ni chombo kinachotuunganisha ni chombo kinachosafiri kat ya mioyo yetu iliyo thabiti

šŸŽµUuuuuuuhuuuuuh

šŸŽµTulizana mpenz tupendane tulizana mpenz tupendane

šŸŽµUuuuuuuhuuuuuh uuuuuuuuh
 
ooh uncle ake maprozoo
 
Weka audio, hayo mavideo kwa hili bundle la Nape hayagusiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…