Nyimbo zangu za kusogeza weekend

Nyimbo zangu za kusogeza weekend

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
16,207
Reaction score
14,343
Zangu hizi hapa za leo nasongesha nazo weekend
 

Attachments

  • 45BB8FD9-CEF8-4E43-B8BF-438B118AABC5.png
    45BB8FD9-CEF8-4E43-B8BF-438B118AABC5.png
    3.3 MB · Views: 11
  • 82D21B1B-33B4-422D-9F44-B96442DB8773.jpeg
    82D21B1B-33B4-422D-9F44-B96442DB8773.jpeg
    1.5 MB · Views: 10
Za kizungu mbona nyingi sana
1.there was Jesus ya Doll Parton
2.I am no longer a slave
3.Jesus paid it all
4.Mercy of God by Mavericks and elevation
5.Talking to Jesus by Mavericks
6.Jireh
7.promises
8.Wait on you.
Hizo zote ni hits songs
 
Naomba za kuabudu za kizungu
Kula vyuma hivi

1. Victory belongs to Jesus
2. Poor me out
3. King of glory
4. Your great name
5. Stand forever
6. Trusting in you

All that songs by Todd dulaney

Ninazo nyingi za huyo jombi, zingine ni za sifa. Kifupi kwenye play list yangu nina nyimbo za watu wawili tu:

1. Lucky dube= Reggae
2. Todd dulaney= Gospel

Sijui kwanini ila nimejaribu kuwa nasikiliza nyimbo nyingine lakini nashindwa naona zinanitoa kwenye reli
 
Be Still -.Travis Green
Been So Good - Tiffany Hudson
King of My Heart - Steffany Gretzinger
All That Matter - Minister GUC
Above All - Lenny LeBlanc
Above all——— best song
Asante
 
k
Kula vyuma hivi

1. Victory belongs to Jesus
2. Poor me out
3. King of glory
4. Your great name
5. Stand forever
6. Trusting in you

All that songs by Todd dulaney

Ninazo nyingi za huyo jombi, zingine ni za sifa. Kifupi kwenye play list yangu nina nyimbo za watu wawili tu:

1. Lucky dube= Reggae
2. Todd dulaney= Gospel

Sijui kwanini ila nimejaribu kuwa nasikiliza nyimbo nyingine lakini nashindwa naona zinanitoa kwenye reli
kwenye reggae unakosa vingi..
The One by Dube ndio track yangu pendwa aliyoniaga nayo.

So hata Senzo haumsikilizagi?
 
k

kwenye reggae unakosa vingi..
The One by Dube ndio track yangu pendwa aliyoniaga nayo.

So hata Senzo haumsikilizagi?
Senzo kiukweli simsikilizi. Yaani sijui kwanini lakini hao ndio nawasikiliza na simu imejaa nyimbo zao tu hasa nyingi zaidi za Dube
 
Back
Top Bottom