big result now
Senior Member
- Sep 8, 2013
- 107
- 70
Hivi Sina na Hela zinaendeleaje huko mtaani?Labda Ndo nazeeka,labda sijui trends Kwa sasa Ndo aina hii ya mziki, mziki uunaboa wakuu, wasanii wanafanana uandishi, beat, Sauti Kila kitu.
Tafuta NgomA zote zinazofanya vizuri uniambie, KWANG'WARU,GO GAGA, CHOMBO, JIBEBE, IOKOTE,DULLY FT HARMONIIZE, AICA&NA REALFT FT DIAMOND, DM CHICK, MAVOKO - NAOGOPa.
List Ni kubwa mno, mmefanya mziki ukose ladha kabisa, afu madhairi hayaeleweki kabisa 🤣🤣🤣🤣
Mnauwa mziki na utumbo wenu.
Karibuni, Povu ruksa
omeonjaje hizo ladha za miziki..?
Hela gani mbona wakiumwa fasta kutembeza bakuli kwa wananchi!....maisha ya maigizo tu!Hadi ww umejua zinafanana...tayari wao washaingiza shllng kitu...