Nyimbo zinazobamba siku hizi zinakosesha radha ya muziki kwa kufanana

Nyimbo zinazobamba siku hizi zinakosesha radha ya muziki kwa kufanana

big result now

Senior Member
Joined
Sep 8, 2013
Posts
107
Reaction score
70
Labda ndo nazeeka,labda sijui trends kwa sasa ndo aina hii ya muziki, muziki uunaboa wakuu, wasanii wanafanana uandishi, beat, sauti Kila kitu.

Tafuta ngoma zote zinazofanya vizuri uniambie, KWANG'WARU,GO GAGA, CHOMBO, JIBEBE, IOKOTE,DULLY FT HARMONIIZE, AICA&NA REALFT FT DIAMOND, DM CHICK, MAVOKO - NAOGOPa.

List ni kubwa mno, mmefanya muziki ukose ladha kabisa, afu madhairi hayaeleweki kabisa 🤣🤣🤣🤣



Mnauwa mziki na utumbo wenu.


Karibuni, Povu ruksa
 
Najiuliza; siku tukiamua kubadilisha starehe, yaani tusipende mziki hawa wasanii wanaendelea kuvaa zilizotoboka na heleni?
 
Makonda kasema ni wasanii kuliko wanazuoni wa Chuo cha sanaa Bagamoyo.
 
Labda Ndo nazeeka,labda sijui trends Kwa sasa Ndo aina hii ya mziki, mziki uunaboa wakuu, wasanii wanafanana uandishi, beat, Sauti Kila kitu.

Tafuta NgomA zote zinazofanya vizuri uniambie, KWANG'WARU,GO GAGA, CHOMBO, JIBEBE, IOKOTE,DULLY FT HARMONIIZE, AICA&NA REALFT FT DIAMOND, DM CHICK, MAVOKO - NAOGOPa.

List Ni kubwa mno, mmefanya mziki ukose ladha kabisa, afu madhairi hayaeleweki kabisa 🤣🤣🤣🤣



Mnauwa mziki na utumbo wenu.


Karibuni, Povu ruksa
Hivi Sina na Hela zinaendeleaje huko mtaani?
 
Usidhani mpaka ngoma inatoka ni simpo tuu.. Njoo hapa nikurekodi kama utaweza kutia hata neno..
 
Wengine muendelee kushabikia Kaswida, sio lazima wote tusikilize bongofleva
 
Nosence .hujuwe unacho ongeya rejesha sim ya shemeji yako ..
 
Back
Top Bottom