Nyimwa vyote lakini sio hekima

Mimi pamoja na kumchukia makonda Ila sidhani kama kweli anaweza kuongea hivyo publicly hata kama ni kweli wanafanya hivyo. Na kama ni kweli kaandika yeye basi kavuka viwango vya kawaida vya dharau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikiwa tajiri siwezi kununua hekima kwa ujanja? Kwenye mkutano naweza kutoa pumba na nikapigiwa makofi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…