shamajengo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,217
- 1,432
Mimi pamoja na kumchukia makonda Ila sidhani kama kweli anaweza kuongea hivyo publicly hata kama ni kweli wanafanya hivyo. Na kama ni kweli kaandika yeye basi kavuka viwango vya kawaida vya dharau.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app