Nyingine ya RICHIMONDULI

Nyingine ya RICHIMONDULI

Sanda Matuta

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2007
Posts
949
Reaction score
142
Naye Lowasa akawaambia mawaziri wengine, KESHENI mkiomba kwani hamjui siku wala saa atakayokuja Dr.Mwakyembe. Nami naenda mtaani kuwaandalia kijiwe ili nitakapokuwa nanyi muwepo.

Amini nawaambia, muonapo tume zaundwa basi mtambue muda wa mavuno ya MAFISADI umekaribia.

Kisha akarudi tena Ikulu kuomba Rais asimfilisi. Lakini RICHMOND akatokea na jeshi la Mwakyembe na kusema,
Nitakayembusu huyo ndie....!

Sanda Matuta, what are trying to say? Kweli huu UDAKU!!!!! Isingekuwa udaku ningeendeleza thread, lakini sasa, mmmmhhhh endeleeni, mimi simo!!
 
Back
Top Bottom