Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Wakuu, hili la Leo alolisema Polepole, linatosha kabisa kuisambaratisha CCM.
CCM imekoswa uhalali kabisa wa Kuexist kama Chama katika Dunia ya Multiparty .
CCM imepoteza uhalali wa Kuendelea na Uchaguzi.
CCM Wana Mfumo wa Kikomoyuta wakuingiza Matokeo kwenye Servers za Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Nimeumia Sana ila NIMEMSAMEHE POLEPOLE KWA MOYO MWEUPE.
Hawa wasengee wanatuua kwenye Uchaguzi, wanatupiga Risasi, watufunga Magerezani, wakati huohuo kumbe Wana limfumo la kuingiza Matokeo Feki kwenye Servers za TUME ZA UCHAGUZI .!!.
UCHAGUZI HAUNA MAANA TENA, NI UHUNI MTUPU NI UPOTEZAJI WA MUDA, HAKUNA UCHAGUZI BILA MABADILIKO!!.
KUACHIENI LISSU MARA MOJA WATEKAJI WAKUBWA NYINYI, MNAMUONEA LISSU kwamba anaongea Maneno ya kichochezo, mara muhaini ili hali ni Kweli Mnalimfumo la Kuiba Kura