nyinyi si mnasema ni vyombo vikubwa vya habari tz aibu naona mm

Kuna katuni moja ya kipanya alielezea vizuri sana kuhusu media za bongo..itafute utajifunza kitu.
 
Sio poa. Nasikia tarifa zote za habari za local tv stations lazima zi hakikiwe na tiss kabla ya kurushwa hewani.
Ni noma sana.
 
Sio poa. Nasikia tarifa zote za habari za local tv stations lazima zi hakikiwe na tiss kabla ya kurushwa hewani.
Ni noma sana.
Wanatangaza nini kwa kipindi hiki aiseee maana hadi huruma
 
Kuna wengine wanaitwa super brand afrika mashariki jaribu kuwauliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…