Nyinyi wanawake

Nyinyi wanawake

Planett

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
10,497
Reaction score
16,180
Wewe kama ni mbaya jua ni mbaya tuu achana na kuongelea " UZURI WA NDANI " hakuna mtu anatembea na x-ray scanner eboo!
 
Hahaha... Wenye sura mbovu huwa wanaongelea sana uzur wa ndani
 
Vyuma vimekaza wanawake legezeni kidogo.
 
Mwanaume hachagui k*** ,sema anachagua ni muda gani wa matumizi ... maana wa kulipia mule kuna adi wazee[emoji22]
 
Sasa tusipotafuta vya kutufariji tutafarijiwa na nani
 
Sasa tusipotafuta vya kutufariji tutafarijiwa na nani
Jifariji kimyakimya bas mkuu kwani hadi uwambie watu kuwa uzuri wa sura sio issue chqmsingi ni inner beauty!!!?
 
Back
Top Bottom