BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 5,259
- 10,078
Koboko mtwara hawapatikani mkuu.Nikiwa ntwara inabidi niwe makini
Wapi Tabora , Shinyanga Kigoma kiasi na Singida kiasi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Koboko mtwara hawapatikani mkuu.Nikiwa ntwara inabidi niwe makini
Kabia umemaliza kaka.Koboko mtwara hawapatikani mkuu.
Wapi Tabora , Shinyanga Kigoma kiasi na Singida kiasi.
Ama kweli macho yangu yamekufa sioni hapoMoja ya nyoka hatari kabisa anaeitwa Black Mamba akiwa kwenye mawindo, wale wa Tabora wanamuelewa sana huyo mwamba kabisa.
View attachment 3221795
Mluzi alitaka kujua sauti inatokea wapi mana unamkera yeye yuko kwenye starehe zake.Kuna sehemu kuna mto nilikuwa nataka nioge,nikaanza kupiga uluzi huku najiandaa kuvua nguo,ghafla naona mwamba anatokea kwenye kichaka kichwa kiko juu anakuja kwangu fasta,ilinibidi nikimbie kuokoa maisha yangu.Ambacho sikujua,ni ule mluzi ndio ulimuita au aliniona kuwa natishia tu usalama wake akaamua kunitokea...
Sasa Huwa ni sinema ile mzee au ? Yale ma elimu tu mbona urambo kuna vichwa vinawakamata kwa ishu za kwenda kuwasukuma kwa wazee wa vilinge.Eti yule mjinga wa South Afrika mwenye kupindi cha kukamata nyoka anawadanganya watu anamshika black mamba kwa mikono tu kule kwenye channel ya Nat Geo Wild
Huyo Nyoka ni KisangaMoja ya nyoka hatari kabisa anaeitwa Black Mamba akiwa kwenye mawindo, wale wa Tabora wanamuelewa sana huyo mwamba kabisa.
View attachment 3221795
NYOKA mpuuzi sana huyo pumbavu zake.Moja ya nyoka hatari kabisa anaeitwa Black Mamba akiwa kwenye mawindo, wale wa Tabora wanamuelewa sana huyo mwamba kabisa.
View attachment 3221795
Koboko kwa lugha ya kiingereza huitwa Black Mamba. Koboko ni nyoka hatari sana katika dunia. Nyoka hawa hupatikana katika sehemu za Mashariki na Kusini mwa Afrika. Koboko anaweza kuishi katika aina mbalimbali za mazingira: savanna, mabwawa, misitu na maeneo ya miamba.
Makazi yoyote ambayo hutoa joto na unyevunyevu ni sehemu nzuri ya kuishi Koboko. Kutokana na uharibifu wa mazingira na kuongezeka kwa kilimo, makutano kati ya Koboko na binadamu yameongezeka zaidi.
1- Koboko ni nyoka mwenye sifa ya urefu anaweza kufikia miguu 14 urefu na 1.58757kg (3.5 pounds) katika uzito, uzito wake mdogo ndio unaomfanya kuwa nyoka mwepesi na mwenye kasi zaidi duniani.
2- Koboko ana mwili mwembamba kufunikwa na ngozi yenye magamba kama ilivyo kwa nyoka wa jamii nyingine, Pamoja na wao kujulikana kwa kiingereza kama Black mambas lakini hawana rangi nyeusi katika ngozi na rangi ya mwili inategemea makazi yao na inaweza kuwa ya kijani, kijivu au njano.
3- Koboko ni jina lake kwa sababu sehemu ya ndani ya vinywa vyao ni nyeusi kabisa. Black mamba kuonyesha kinywa chake cheusi wakati anakabiliwa na hatari.
4- Nyoka huyu huanza kutanua shingo yake lakini sio kama afanyavyo COBRA na hutoa sauti kama ile ya tairi likiwa inatoka upepo na hii ni ishara nyingine kwamba kiumbe hutayari shambulio.
Ukiona amena moja ya hizo ishara unashauri wa usifanye chochote kwasababu kwa kasi aliyonayo hutaweza kumuwai kifupi tulia mpaka hasira zishuke na ajiondokee narudia usithubutu kujifanya unafurukuta matendo yako hayatawahi tendo lake.
5- Ingawa nyoka huyu amebeba sifa ya kuwa nyoka mjeuri na mkali sana, lakini nayeye hujaribu kutoroka kabla mashambulizi lakini hushambulia kwa ukatiri sana ikibidi. Kumbuka kwa mtulivu ukikutana nae
6- Sasa upande wa sumu hapa ndipo patamu Koboko ana aina mbili ya sumu zinazozalishwa katika mwili wake moja ni huitwa Neuro – hii huathiri mfumo wa neva na nyingine ni Cardio-toxin hii huathiri mfumo wa moyo na sumu hizi zinaweza kuua binadamu chini ya dakika 20. Pia imethibitika kuwa matone mawili ya sumu yake inaweza kuua.
7- Koboko anatumia sumu kuwinda aina mbalimbali za ndege na wanyama wadogo. Na hutumia kama kitoweo chake
8- Koboko anaishi katika mashimo ya miti na katika mashimo ya miamba. Pamoja na kiasi kikubwa cha sumu kali sana aliyonayo, lakini hana ujanja mbele ya Nguchiro na Mbweha, na Nyegere.
9- Koboko hutembea haraka sana akiwa juu ya ardhi. Anaweza kusafiri umbali mrefu kwa kasi ya maili hadi 12 kwa saa. Hivyo usijaribu kukimbia atakufukuza mpaka akugonge sehemu ya mwili wako.
10- Jike hutaga mayai kati ya 10 na 25 katika kiota juu ya ardhi. Joto ni muhimu kwa ajili ya incubation ya mayai. Na mayai hujitotoa baada ya miezi 3. Na vijinyoka hivyo vichanga huanza kujihudumia kwa kila kitu na huwa na sumu ile ile kama ya nyoka mkongwe hivyo usije ukadharau.
11- Koboko anaweza kuishi hadi miaka 11 katika pori na hadi miaka 12 kama atafugwa.
Tanzania nyoka hawa hupatikana zaidi mkoa wa Tabora, Mtwara, Morogoro na baadhi ya maeneo ya Katavi na Kigoma
MKuu nikila nduki na kukimbia kwa kukata makona makona atanifata kweli?9- Koboko hutembea haraka sana akiwa juu ya ardhi. Anaweza kusafiri umbali mrefu kwa kasi ya maili hadi 12 kwa saa. Hivyo usijaribu kukimbia atakufukuza mpaka akugonge sehemu ya mwili wako.
Morogoro wanaongoza kwa majokaKoboko kwa lugha ya kiingereza huitwa Black Mamba. Koboko ni nyoka hatari sana katika dunia. Nyoka hawa hupatikana katika sehemu za Mashariki na Kusini mwa Afrika. Koboko anaweza kuishi katika aina mbalimbali za mazingira: savanna, mabwawa, misitu na maeneo ya miamba.
Makazi yoyote ambayo hutoa joto na unyevunyevu ni sehemu nzuri ya kuishi Koboko. Kutokana na uharibifu wa mazingira na kuongezeka kwa kilimo, makutano kati ya Koboko na binadamu yameongezeka zaidi.
1- Koboko ni nyoka mwenye sifa ya urefu anaweza kufikia miguu 14 urefu na 1.58757kg (3.5 pounds) katika uzito, uzito wake mdogo ndio unaomfanya kuwa nyoka mwepesi na mwenye kasi zaidi duniani.
2- Koboko ana mwili mwembamba kufunikwa na ngozi yenye magamba kama ilivyo kwa nyoka wa jamii nyingine, Pamoja na wao kujulikana kwa kiingereza kama Black mambas lakini hawana rangi nyeusi katika ngozi na rangi ya mwili inategemea makazi yao na inaweza kuwa ya kijani, kijivu au njano.
3- Koboko ni jina lake kwa sababu sehemu ya ndani ya vinywa vyao ni nyeusi kabisa. Black mamba kuonyesha kinywa chake cheusi wakati anakabiliwa na hatari.
4- Nyoka huyu huanza kutanua shingo yake lakini sio kama afanyavyo COBRA na hutoa sauti kama ile ya tairi likiwa inatoka upepo na hii ni ishara nyingine kwamba kiumbe hutayari shambulio.
Ukiona amena moja ya hizo ishara unashauri wa usifanye chochote kwasababu kwa kasi aliyonayo hutaweza kumuwai kifupi tulia mpaka hasira zishuke na ajiondokee narudia usithubutu kujifanya unafurukuta matendo yako hayatawahi tendo lake.
5- Ingawa nyoka huyu amebeba sifa ya kuwa nyoka mjeuri na mkali sana, lakini nayeye hujaribu kutoroka kabla mashambulizi lakini hushambulia kwa ukatiri sana ikibidi. Kumbuka kwa mtulivu ukikutana nae
6- Sasa upande wa sumu hapa ndipo patamu Koboko ana aina mbili ya sumu zinazozalishwa katika mwili wake moja ni huitwa Neuro – hii huathiri mfumo wa neva na nyingine ni Cardio-toxin hii huathiri mfumo wa moyo na sumu hizi zinaweza kuua binadamu chini ya dakika 20. Pia imethibitika kuwa matone mawili ya sumu yake inaweza kuua.
7- Koboko anatumia sumu kuwinda aina mbalimbali za ndege na wanyama wadogo. Na hutumia kama kitoweo chake
8- Koboko anaishi katika mashimo ya miti na katika mashimo ya miamba. Pamoja na kiasi kikubwa cha sumu kali sana aliyonayo, lakini hana ujanja mbele ya Nguchiro na Mbweha, na Nyegere.
9- Koboko hutembea haraka sana akiwa juu ya ardhi. Anaweza kusafiri umbali mrefu kwa kasi ya maili hadi 12 kwa saa. Hivyo usijaribu kukimbia atakufukuza mpaka akugonge sehemu ya mwili wako.
10- Jike hutaga mayai kati ya 10 na 25 katika kiota juu ya ardhi. Joto ni muhimu kwa ajili ya incubation ya mayai. Na mayai hujitotoa baada ya miezi 3. Na vijinyoka hivyo vichanga huanza kujihudumia kwa kila kitu na huwa na sumu ile ile kama ya nyoka mkongwe hivyo usije ukadharau.
11- Koboko anaweza kuishi hadi miaka 11 katika pori na hadi miaka 12 kama atafugwa.
Tanzania nyoka hawa hupatikana zaidi mkoa wa Tabora, Mtwara, Morogoro na baadhi ya maeneo ya Katavi na Kigoma
Hiyo namba 8 niliona nyegere anamkimbiza huyu mwamba fasta akamgeuza mshikaki.Koboko kwa lugha ya kiingereza huitwa Black Mamba. Koboko ni nyoka hatari sana katika dunia. Nyoka hawa hupatikana katika sehemu za Mashariki na Kusini mwa Afrika. Koboko anaweza kuishi katika aina mbalimbali za mazingira: savanna, mabwawa, misitu na maeneo ya miamba.
Makazi yoyote ambayo hutoa joto na unyevunyevu ni sehemu nzuri ya kuishi Koboko. Kutokana na uharibifu wa mazingira na kuongezeka kwa kilimo, makutano kati ya Koboko na binadamu yameongezeka zaidi.
1- Koboko ni nyoka mwenye sifa ya urefu anaweza kufikia miguu 14 urefu na 1.58757kg (3.5 pounds) katika uzito, uzito wake mdogo ndio unaomfanya kuwa nyoka mwepesi na mwenye kasi zaidi duniani.
2- Koboko ana mwili mwembamba kufunikwa na ngozi yenye magamba kama ilivyo kwa nyoka wa jamii nyingine, Pamoja na wao kujulikana kwa kiingereza kama Black mambas lakini hawana rangi nyeusi katika ngozi na rangi ya mwili inategemea makazi yao na inaweza kuwa ya kijani, kijivu au njano.
3- Koboko ni jina lake kwa sababu sehemu ya ndani ya vinywa vyao ni nyeusi kabisa. Black mamba kuonyesha kinywa chake cheusi wakati anakabiliwa na hatari.
4- Nyoka huyu huanza kutanua shingo yake lakini sio kama afanyavyo COBRA na hutoa sauti kama ile ya tairi likiwa inatoka upepo na hii ni ishara nyingine kwamba kiumbe hutayari shambulio.
Ukiona amena moja ya hizo ishara unashauri wa usifanye chochote kwasababu kwa kasi aliyonayo hutaweza kumuwai kifupi tulia mpaka hasira zishuke na ajiondokee narudia usithubutu kujifanya unafurukuta matendo yako hayatawahi tendo lake.
5- Ingawa nyoka huyu amebeba sifa ya kuwa nyoka mjeuri na mkali sana, lakini nayeye hujaribu kutoroka kabla mashambulizi lakini hushambulia kwa ukatiri sana ikibidi. Kumbuka kwa mtulivu ukikutana nae
6- Sasa upande wa sumu hapa ndipo patamu Koboko ana aina mbili ya sumu zinazozalishwa katika mwili wake moja ni huitwa Neuro – hii huathiri mfumo wa neva na nyingine ni Cardio-toxin hii huathiri mfumo wa moyo na sumu hizi zinaweza kuua binadamu chini ya dakika 20. Pia imethibitika kuwa matone mawili ya sumu yake inaweza kuua.
7- Koboko anatumia sumu kuwinda aina mbalimbali za ndege na wanyama wadogo. Na hutumia kama kitoweo chake
8- Koboko anaishi katika mashimo ya miti na katika mashimo ya miamba. Pamoja na kiasi kikubwa cha sumu kali sana aliyonayo, lakini hana ujanja mbele ya Nguchiro na Mbweha, na Nyegere.
9- Koboko hutembea haraka sana akiwa juu ya ardhi. Anaweza kusafiri umbali mrefu kwa kasi ya maili hadi 12 kwa saa. Hivyo usijaribu kukimbia atakufukuza mpaka akugonge sehemu ya mwili wako.
10- Jike hutaga mayai kati ya 10 na 25 katika kiota juu ya ardhi. Joto ni muhimu kwa ajili ya incubation ya mayai. Na mayai hujitotoa baada ya miezi 3. Na vijinyoka hivyo vichanga huanza kujihudumia kwa kila kitu na huwa na sumu ile ile kama ya nyoka mkongwe hivyo usije ukadharau.
11- Koboko anaweza kuishi hadi miaka 11 katika pori na hadi miaka 12 kama atafugwa.
Tanzania nyoka hawa hupatikana zaidi mkoa wa Tabora, Mtwara, Morogoro na baadhi ya maeneo ya Katavi na Kigoma
Hiyo ya kukimbia unakata kona ndo hatari zaidi, sababu ili akung'ate inabidi ukae kwa pembeni kidogo, mkiwa sawa mnatazamana hawezi kukung'ataMKuu nikila nduki na kukimbia kwa kukata makona makona atanifata kweli?
Kumbe? Hiyo sasa JiniHiyo ya kukimbia unakata kona ndo hatari zaidi, sababu ili akung'ate inabidi ukae kwa pembeni kidogo, mkiwa sawa mnatazamana hawezi kukung'ata