Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
Nataka kufanya utafiti zaidi kuhusu hao anaconda jike kujua kama wana uhusiano wowote na wamachameWanaume wengi wamekufa kutokana na wake zao.
Mkizaa,mkiisha chuma Mali akaona anajiweza,anakuona huna maana tena , kama huyo nyoka baada ya kupata starehe na manii za kutaga anaua dume.
Mimi nadhani vita kati ya mwanamke dhidi ya mwanaume ni kubwa mno.