Wanaume wengi wamekufa kutokana na wake zao.
Mkizaa,mkiisha chuma Mali akaona anajiweza,anakuona huna maana tena , kama huyo nyoka baada ya kupata starehe na manii za kutaga anaua dume.
Mimi nadhani vita kati ya mwanamke dhidi ya mwanaume ni kubwa mno.