Los técnicos
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 3,012
- 2,637
Kwenye hiyo misafara kuna zito ambaye ni mwenyeji wa kigoma nadhani ni vyema naye ungemhoji kama hiyo ndio hoja yakoHuyu ni aliyekuwa diwani Kigoma Mjini na yeye mnamuhesabu kwenye nyomi. Mkipigwa mnashangaa watu walikuwa wengi kura chache. Hizi MBWEMBWE za Nyomi ni maigizoView attachment 1534800