Los técnicos JF-Expert Member Joined Sep 14, 2014 Posts 3,012 Reaction score 2,637 Aug 12, 2020 #21 Ndata said: Huyu ni aliyekuwa diwani Kigoma Mjini na yeye mnamuhesabu kwenye nyomi. Mkipigwa mnashangaa watu walikuwa wengi kura chache. Hizi MBWEMBWE za Nyomi ni maigizoView attachment 1534800 Click to expand... Kwenye hiyo misafara kuna zito ambaye ni mwenyeji wa kigoma nadhani ni vyema naye ungemhoji kama hiyo ndio hoja yako
Ndata said: Huyu ni aliyekuwa diwani Kigoma Mjini na yeye mnamuhesabu kwenye nyomi. Mkipigwa mnashangaa watu walikuwa wengi kura chache. Hizi MBWEMBWE za Nyomi ni maigizoView attachment 1534800 Click to expand... Kwenye hiyo misafara kuna zito ambaye ni mwenyeji wa kigoma nadhani ni vyema naye ungemhoji kama hiyo ndio hoja yako
Ndata JF-Expert Member Joined Mar 2, 2017 Posts 226 Reaction score 329 Aug 12, 2020 Thread starter #22 Los técnicos said: Kwenye hiyo misafara kuna zito ambaye ni mwenyeji wa kigoma nadhani ni vyema naye ungemhoji kama hiyo ndio hoja yako Click to expand... Unaanza kukubali Kuna asilimia kubwa ya watu kwenye nyomi la Maalim sio wakaazi Wala wapiga kura wa Zanzibar
Los técnicos said: Kwenye hiyo misafara kuna zito ambaye ni mwenyeji wa kigoma nadhani ni vyema naye ungemhoji kama hiyo ndio hoja yako Click to expand... Unaanza kukubali Kuna asilimia kubwa ya watu kwenye nyomi la Maalim sio wakaazi Wala wapiga kura wa Zanzibar
Ntolonyonyo JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 2,231 Reaction score 2,357 Aug 12, 2020 #23 Asongepata watu mngeongea..kapata wa kumpokea bado mnaongea........watu wengine bana