- Thread starter
- #21
Kwani Kikwete alikuwa na kampeni au fiesta tu?
Afadhali umeshajua kuwa jamaa ameshashinda so anafanya fiesta za kusherekea ushindi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Kikwete alikuwa na kampeni au fiesta tu?
hivi si haitakiwi kubeba watu kwenye maroli hawa watu watakufa kama wale wa zanzibar, kwanini sheria hazifuatwi!?
Kikwete ni dk wa nini?
Wamesombwa na mabasi na tuliyaona hayo mabasi. CCM wanajidanganya wachukua watu wale wale kule Kawe, Mwembeyanga na hao hao? je watapiga kura mara zote hizo?
Poor CCM, jiandaeni kisaikolojia "kupokea kushindwa"
Ngudu nataka tu nikujulishe kama hauko Dar kimakazi, watu wa temeke na vitongoji vyake wanapenda sana bongo fleva kuliko aina nyingine yoyote ya music si wakubwa wala wadogo. Halafu kumbuka kuwa ni watu wengi sana siyo wa mijini wala vijijini wanatamani sana kuwaona hawa wasanii wa bongo fleva live bila antena sasa hiyo ndiyo fursa pekee kwao kwani ni bureeeeeee kuwaona, juhudi yako tu ya kujisogeza panapo uwanja, halafu wengi ni masikini so hawana fulana za kushindia au kwendea shamba sasa hizo zinazogawiwa bure hata mimi ningewania.Kativii kangu ka black n white kamepona so uchaguzi niko nao beneti kwa sasa, Jana Dr. slaa nilimuona Jangwani kapata nyomi hata tiviii ilikuwa ndogo, lakini leo huyu Jeykey kapata manyomi ilibakia kiduchu kativii kangu kapasuke kwa watu waliojaa humo tiviini. Hii inashria nini jamani nyie mtakaojengewa barabara za ndege huko dar?
Kativii kangu ka black n white kamepona so uchaguzi niko nao beneti kwa sasa, Jana Dr. slaa nilimuona Jangwani kapata nyomi hata tiviii ilikuwa ndogo, lakini leo huyu Jeykey kapata manyomi ilibakia kiduchu kativii kangu kapasuke kwa watu waliojaa humo tiviini. Hii inashria nini jamani nyie mtakaojengewa barabara za ndege huko dar?