mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Kuna watu wa ajabu sana ambao hudhani kuwa watu wanaopinga chanjo ni watu wa hapa Tz tu "walioharibiwa" na uongozi wa awamu ya 5! Watu wakipinga chanjo lawama anatupiwa marehemu, eti aliharibu sana watu!! Inabidi watu waelewe kuwa upinzani wa chanjo ya orona upo duniani kote!! Ona nyomi hii ya watu mjini London Uingereza wakiandamana kupinga chanjo ya corona. Je hawa nak waliharibiwa na JPM?? Ni chizi tu anayeweza kuamini hivyo!!