mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Usijidanganye!! Chanjo hii haijawahi kupunguza maambukizi!! Haizuii maambukizi!! Na sasa waliochanja mbili wanatakiwa wachanje ya tatu, hizo mbili hazitoshi!! Kisha mara kwa mara wameambiwa wawe wanachanjwa booster!! Hapo wakasema enough is enough!!Usiwaamini sana wazungu hao wanafanya maandamo baada ya kuchanja na maambukizi kupungua kwa asilimia kubwa sana uingereza
Jacob Desvarieux mwanzilishi wa Band ya Kassav na dancing style ya Zouk, alikufa kwa covid 19, July 30/2020, akiwa amechanjwa chanjo 3..Bado aliambukizwa na kufa hatimaye kuzikwa kwao Guadelope.Usijidanganye!! Chanjo hii haijawahi kupunguza maambukizi!! Haizuii maambukizi!! Na sasa waliochanja mbili wanatakiwa wachanje ya tatu, hizo mbili hazitoshi!! Kisha mara kwa mara wameambiwa wawe wanachanjwa booster!! Hapo wakasema enough is enough!!
July 31/2021Jacob Desvarieux mwanzilishi wa Band ya Kassav na dancing style ya Zouk, alikufa kwa covid 19, July 30/2020, akiwa amechanjwa chanjo 3..Bado aliambukizwa na kufa hatimaye kuzikwa kwao Guadelope.
Kwahiyo umefarijika kuwa kukataa kwako kuchanja ni sahihi kwani hata wazungu wamekataa! Huo ni ujinga.Kuna watu wa ajabu sana ambao hudhani kuwa watu wanaopinga chanjo ni watu wa hapa Tz tu "walioharibiwa" na uongozi wa awamu ya 5! Watu wakipinga chanjo lawama anatupiwa marehemu, eti aliharibu sana watu!! Inabidi watu waelewe kuwa upinzani wa chanjo ya orona upo duniani kote!! Ona nyomi hii ya watu mjini London Uingereza wakiandamana kupinga chanjo ya corona. Je hawa nak waliharibiwa na JPM?? Ni chizi tu anayeweza kuamini hivyo!!View attachment 1932699
Unadhani ulaya hakuna wajinga kama wewe na wengine?Kuna watu wa ajabu sana ambao hudhani kuwa watu wanaopinga chanjo ni watu wa hapa Tz tu "walioharibiwa" na uongozi wa awamu ya 5! Watu wakipinga chanjo lawama anatupiwa marehemu, eti aliharibu sana watu!! Inabidi watu waelewe kuwa upinzani wa chanjo ya orona upo duniani kote!! Ona nyomi hii ya watu mjini London Uingereza wakiandamana kupinga chanjo ya corona. Je hawa nak waliharibiwa na JPM?? Ni chizi tu anayeweza kuamini hivyo!!View attachment 1932699
Marekani watu 177 milioni wamechanja kati ya watu 360.Usiwaamini sana wazungu hao wanafanya maandamo baada ya kuchanja na maambukizi kupungua kwa asilimia kubwa sana uingereza
Casualties hazikosekani popoteUsijidanganye!! Chanjo hii haijawahi kupunguza maambukizi!! Haizuii maambukizi!! Na sasa waliochanja mbili wanatakiwa wachanje ya tatu, hizo mbili hazitoshi!! Kisha mara kwa mara wameambiwa wawe wanachanjwa booster!! Hapo wakasema enough is enough!!
Wew nawe sijui ni mpare gani una Mambo ya hovyoUsiwaamini sana wazungu hao wanafanya maandamo baada ya kuchanja na maambukizi kupungua kwa asilimia kubwa sana uingereza
Kwenye kuchanja tuwaamini wazungu lakini kwenye kupinga chanjo tusiwaamini wew unaona umefikiri sawa sawa .....hovyo kbsUsiwaamini sana wazungu hao wanafanya maandamo baada ya kuchanja na maambukizi kupungua kwa asilimia kubwa sana uingereza
Si ndio hao huwa mnawategemea wawaamulie nini cha kufanyaUsiwaamini sana wazungu hao wanafanya maandamo baada ya kuchanja na maambukizi kupungua kwa asilimia kubwa sana uingereza
Mkuu,ukitaka kujua humu majuha ni wengi,LISSU ajifanye kama anaipinga chanjo!Kuna watu wa ajabu sana ambao hudhani kuwa watu wanaopinga chanjo ni watu wa hapa Tz tu "walioharibiwa" na uongozi wa awamu ya 5! Watu wakipinga chanjo lawama anatupiwa marehemu, eti aliharibu sana watu!! Inabidi watu waelewe kuwa upinzani wa chanjo ya orona upo duniani kote!! Ona nyomi hii ya watu mjini London Uingereza wakiandamana kupinga chanjo ya corona. Je hawa nak waliharibiwa na JPM?? Ni chizi tu anayeweza kuamini hivyo!!View attachment 1932699
Cha ajabu nini wakati kila mwaka wanachoma shot ya Flu. sababu ya bima ya afya ya kwao na wanaogopa sana mafua ya kawaida tu wanachoma chanjo kila mwaka. Hawa ni wachache sana wengi wamechoma ndio maana unaona tuna enjoy siku hizi EPL. Jana Biden kawa mkali sababu kuna watu kama Milion 80 bado kasema mnatuletea shida sisi million 200 tuliochoma.Usijidanganye!! Chanjo hii haijawahi kupunguza maambukizi!! Haizuii maambukizi!! Na sasa waliochanja mbili wanatakiwa wachanje ya tatu, hizo mbili hazitoshi!! Kisha mara kwa mara wameambiwa wawe wanachanjwa booster!! Hapo wakasema enough is enough!!
Hivi kwenye hili dili umepata sh ngapi?simlisema wazungu wanataka kutuua?
Kachanje Mkuu acha kushupaza kichwa hicho..Mkuu,ukitaka kujua humu majuha ni wengi,LISSU ajifanye kama anaipinga chanjo!
Hutaamini mkuu,watu watapiga U-turn na kusapoti chanjo haifai