#COVID19 Nyomi ya maandamano kupinga chanjo nçhini Uingereza: Kwa wale mbumbumbu wanaodhani upinzani wa chanjo ya corona upo TZ tu!!

Hivi Wewe jamaa una akili Kweli?

nenda kachanje kama unajipenda achana na mambo ya waingereza
 
Sasa nyie marekani sie watz inatuhusu nini?
 
Sasa wewe kila kitu akifanya mzungu kwako ushindi jiandae na ndoa za wanaume kwa wanaume wameanadama wanataka kila nchi watu waoane upo tayari?
 
Usijidanganye na kushikilia unyasi kubeba argument yako.
UK ina watu milioni 68. Na kati ya hao milioni 48 wamechanja.
Mkiendelea na maujinga mtajikuta ndani ya boksi muda si mrefu!

"More than 48 million people in the UK have received at least one dose of a coronavirus vaccine - part of the biggest inoculation programme the country has ever launched."
- BBC
 
Jacob Desvarieux mwanzilishi wa Band ya Kassav na dancing style ya Zouk, alikufa kwa covid 19, July 30/2020, akiwa amechanjwa chanjo 3..Bado aliambukizwa na kufa hatimaye kuzikwa kwao Guadelope.
Ukitaja jambo nusu nusu kwa makusudi una ajenda ya kusema uongo. Jacob Desvarieux alikuwa na kisukari kikali hadi alipoteza figo. Alikuwa na figo za kupandikiza. Ili figo hizo zifanye kazi ilikuwa ni lazima atumie dawa za kuzuia kinga (immunity suppressing drugs). Maana yake ni kuwa alikuwa hawezi kuwa na kinga yoyote, au chanjo ilikuwa haiwezi kumpa kinga. Ni sababu mojawapo alichanjwa mara tatu. That is an extremely isolated case not fit for a generalisation
 

Kwa taarifa yako wapinga chanjo wapo tangu 1950s. Haya ni mwendelezo tu wa kazi zao. Kasome anti-vaccine groups, wanapinga mpaka hizi za chini ya miaka mitano. Wanachokifanya ni mwendelezo wa wanachokiamini.

Kwa hapa kwetu sijaona mpinga chanjo bali kila mmoja kubaki na uamzi wake wa kuchanja au kutokuchanja.
 
Asante sana mkuu. Tuzidi kupaza sauti, wataamka hata kama ni kumi. Hali si shwari kabisa kwa sababu waovu waliotengeneza hiki kiitwacho "chanjo" - japo si chanjo kamwe - wamekaa wamekunja mikono lakini sisi wanaotuumiza ndio tuko bize kuwatetea na kutetea sumu yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…