#COVID19 Nyomi ya maandamano kupinga chanjo nçhini Uingereza: Kwa wale mbumbumbu wanaodhani upinzani wa chanjo ya corona upo TZ tu!!

Wangetaka kufanya hivyo wote tungesha malizika
Hicho ndicho wanachotaka tangu miaka mingi; na bado muda kidogo ndugu malengo hayo yanaenda kutimia. Tumia simu yako kutafuta habari zipo kwa kila anayetafuta. Usipinge tu ukakunja mikono; tafuta kwanza ndipo upinge kwa hoja.
 
chanjo ziko 1m na mpaka leo wamechanja laki nne kwa nini hazijaisha?

JPM alibana mrija wa wewe kupata hela lazima umchukie tu
 
[emoji8][emoji8] muue[emoji28]
 
Hicho ndicho wanachotaka tangu miaka mingi; na bado muda kidogo ndugu malengo hayo yanaenda kutimia. Tumia simu yako kutafuta habari zipo kwa kila anayetafuta. Usipinge tu ukakunja mikono; tafuta kwanza ndipo upinge kwa hoja.
Upinzani upo wa aina nyingi, kiitikadi, kisiasa na hata kijamii, hivyo hata kwenye tiba au sayansi ni mambo ya kawaida, kubwa ni uwezo wa kupima athari na kupata taarifa zilizokuwa za kweli na sahihi na zenye manufaa kwa mtu. Au kundi husika.
 
Chanjo...! Wizi mtupu

Mara huko marekani ukichanja unapewa dolari 50, Afrika Kusini ukichanjwa unaingia bure uwanjani kuangalia bafana bafana. Ni rushwa rushwa tu.
 

Acha ukuda, who forced you to be vaccinated, umelazimishwa? Si hiari, sasa kiherehere cha nn? Wengine tushachanjwa muda na maisha safi kabisa, kama hutaki una haki na no one will force you, wenye kutaka chanjo wana haki pia kwa hiari, sasa ww kiherehere cha nn? Naamini hayajakufika janga la Corona kwa baba au mama au ndugu wa karibu ukaona live hatari kuu yake. Acha upuuzi ww So umeona UK kuna maandamano ukajua wana akili sana ndio models wako? Si uandamane na ww hapa uwa support, uone moto wake. Acheni upuuzi, pumbaf.
 
Mbona kuna wazungu wanaopinga chanjo za magonjwa yakawaida tu kama TB ? Au unafikiri wazungu kupinga chanjo kumeanzia kwenye covid tu ?
Mh.Kikwete alisema "Za kuambiwa changanya na za kwako" Dawa ya malaria ilipoanza wengi iliwadhuru. Kila dawa ina uzuri na ubaya kutokana na anayeitumia miili yetu haifanani.
 
Faida ya chanjo ni matrilioni ya IMF tu, juzi tumepokea 1.6Tr taslimu…. tuendelee kuchanja kwa muktadha huo.
 
Jacob Desvarieux mwanzilishi wa Band ya Kassav na dancing style ya Zouk, alikufa kwa covid 19, July 30/2020, akiwa amechanjwa chanjo 3..Bado aliambukizwa na kufa hatimaye kuzikwa kwao Guadelope.
Jacob alikuwa na ugonjwa wa kisukari & kidney transplant.Afya yake kabla ya ujio wa Corona ilikuwa na mgogoro wa kutosha.

Tusitafute sababu nyepesi za kukimbia chanjo kwa kukimbilia mfano ya kijinga tena isiyokuwa na mashiko.

Kuna siku mtu atagongwa na gari na kufariki tutakimbilia hoja nyepesi eti alichanjwa lakini kafariri.

USA watu zaidi ya 170 million wamechanjwa,unataka kuniambia nchi kubwa yenye maendeleo ya science & technology wako tayari kuangamiza idadi kubwa ya raia wake kirahisi rahisi !.
 
tusikifiche utakaa na ujinga siku nyingi, hao 170m kuchanjwa, sio kigezo cha hao hao kusema waliingia chaka!

walichanja, na bado wanakipata cha moto, corona inawaambukiza tena, kama ni hivyo si Bora kuipinga kwa maana haisaidiu ili wanasayansi waanze upya!
 
Unajua mkuu unaweza jikuta unaslap mtu? Wanatia hasira mno. Achana na manguloo hawa
 
Hii inaenda sawa pia na watu walioaminishwa chanjo inafaa, ikatokea kuwaeleza facts kuhusu madhara ya chanjo kinyume na Imani zao bado wataendelea kukataa
 
Usiwaamini sana wazungu hao wanafanya maandamo baada ya kuchanja na maambukizi kupungua kwa asilimia kubwa sana uingereza
Vip Israel pia ndg mshana, maana ni moja ya nchi iliyochanja sana lakini pia maambukizi yamepanda sana kwa week za karibuni, au wao sio wazungu pia

Jambo hili ni giza bado kwa wote, hakuna mwenye uhakika na chochote,
 
Usijidanganye!! Chanjo hii haijawahi kupunguza maambukizi!! Haizuii maambukizi!! Na sasa waliochanja mbili wanatakiwa wachanje ya tatu, hizo mbili hazitoshi!! Kisha mara kwa mara wameambiwa wawe wanachanjwa booster!! Hapo wakasema enough is enough!!
Itakuwa kama chanjo ya mdonde, baada ya muda uchanje tena
 

watakuja wanasayansi wa tandale
 
Usijidanganye!! Chanjo hii haijawahi kupunguza maambukizi!! Haizuii maambukizi!! Na sasa waliochanja mbili wanatakiwa wachanje ya tatu, hizo mbili hazitoshi!! Kisha mara kwa mara wameambiwa wawe wanachanjwa booster!! Hapo wakasema enough is enough!!
Mkuu huyo unayemjibu huwa ni miongoni wa "much know" wa hapa JF, Mshana Jr ni mbobevu wa tunguri na ulozi tu basi!
 
Usijidanganye!! Chanjo hii haijawahi kupunguza maambukizi!! Haizuii maambukizi!! Na sasa waliochanja mbili wanatakiwa wachanje ya tatu, hizo mbili hazitoshi!! Kisha mara kwa mara wameambiwa wawe wanachanjwa booster!! Hapo wakasema enough is enough!!
Kuna kitu kinasukumwa kwa kivuli cha chanjo.
 
Kulikuwa na maandamano London weekend iliyopita kuhusu chanjo ya Corona. Ila hiyo picha iliyotumwa ni ya uongo, ni fake.
Maandamano yenyewe watu hawakufikia hata elfu moja. Ila yaliongozana na fujo na baadhi ya polisi kuumizwa.

Hapa UK watu wanajua kuandamana na kila weekend Kuna maandamano ya aina moja ama nyingine. Ukisema nyomi ni kuanzia watu laki moja na Kuna wakati wanaandamana watu hata milioni moja.

Nahisi hii picha ni maandamano ya watu wa mazingira ambao nao walikuwa na maandamano yao weekend hiyo hiyo. Watu wa vaccines wamepenyeza mabango yao ili wasambaze kwa wajinga kuwadanganya. Hawa ni Extinction Rebellion watu wa mazingira.

unaweza ku Google na utapata picha za maandamano ya vaccines. Walikuwa watu wachache na kulikuwa na vurugu nyingi na polisi wengi. The
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…