Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bayern vs madrid na Livemrpolll vs RomaBayern vs Roma
R.madrid vs Liverpool
Tubet hapa hapa. Nami napanga kama huyu:Bayern vs Madrid
Liverpool vs Roma
Unelala au upo baa asubuhi na konyagi baridiManchester united atachukua kombe
Tubet hapa hapa. Nami napanga kama huyu:
Liver vs Roma
Bayern vs Madrid
Halafu nisamehe sana, jana nlisema nitakucheki nkajisahaubuyern vs liverpool na madrid na roma
Mkuu umefanana na mimi 100% teh! teh! Tuvumilie tu ndio ishatokea hiyo.[emoji23] [emoji23] ilianza chelsea,,,ikafuatia barca,,,ila nikaumia zaidi kupita kwa madrid
Mm siumiagi akifunga nakerekaga na masifa yake basiKama ulikuwa huwapend basi lazima usingewapenda zaid baada ya Ronaldo maana kila akifunga unaumia
Ila naamini liva atamtandika huyo mbwigaMkuu umefanana na mimi 100% teh! teh! Tuvumilie tu ndio ishatokea hiyo.
Liver hua anakania mechi kubwa hilo linawezekana pia.Ila naamini liva atamtandika huyo mbwiga
HahahaWapange tu watu wao..mimi hiyo michuano hapana,imenitoka kabisa
Ndugu kwa hatua hii hakuna kibonde hapo, sasa kama Roma au Liver ionekane kibonde man u au chelsea si watakuwa mahututi..ukifika hatua hiyo hakuna cha kuombea upangwe na nani..suala ni kupambana tuu utoboe hatua inayofuata ..yeyote ukipangwa naye anakutoahapo MADRID VS LIVERPOOL
BAYERN VS ROMA
Watataka kumpa MAdrid kibonde kitakacho wakuta hawatoweza kuamini..
Mkuu Kunguru Mjanja,
Mkuu Salzburg ni ya Austria na si Ujerumani
Liverpool V Real Madrid
Roma V Bayern Munchen
Na huku
Arsenal V Atletico de Madrid
Marseille V Rb Salzburg
Itakuwa imekupapasa sana muda wote unaota ota tu kupapaswaManchester united atachukua kombe